‏ Mark 12:41

Sadaka Ya Mjane

(Luka 21:1-4)

41 aKisha Yesu akaketi mkabala na sehemu ambapo sadaka zilikuwa zinawekwa na kuangalia umati wa watu wakiweka fedha zao kwenye sanduku la hazina ya Hekalu. Matajiri wengi wakaweka kiasi kikubwa cha fedha.
Copyright information for SwhNEN