Matthew 21:9
9 aUle umati wa watu uliomtangulia na ule uliomfuata ukapiga kelele ukisema,
“Hosana, ▼▼Kiebrania kusema Okoa, basi likawa neno la shangwe.
Mwana wa Daudi!”
“Amebarikiwa yeye ajaye kwa Jina la Bwana!”
“Hosana juu mbinguni!”
Copyright information for
SwhNEN