Matthew 5:31-32
Kuhusu Talaka
(Mathayo 19:9; Marko 10:11-12; Luka 16:18)
31 a “Pia ilinenwa kwamba, ‘Mtu yeyote amwachaye mkewe sharti ampe hati ya talaka.’ 32 bLakini mimi nawaambia, yeyote amwachaye mkewe isipokuwa kwa kosa la uasherati, amfanya mkewe kuwa mzinzi. Na yeyote amwoaye yule mwanamke aliyeachwa, anazini.
Copyright information for
SwhNEN