Micah 2:6-7
Manabii Wa Uongo
6 aManabii wao husema, “Usitabiri.Usitabiri kuhusu vitu hivi;
aibu haitatupata.”
7 bJe, ingesemwa, ee nyumba ya Yakobo:
“Je, Roho wa Bwana amekasirika?
Je, yeye hufanya vitu kama hivyo?”
“Je, maneno yangu hayamfanyii mema
yeye ambaye njia zake ni nyofu?
Copyright information for
SwhNEN