Numbers 28:14
14 aPamoja na kila fahali kutakuwa na sadaka ya kinywaji nusu ya hini ▼▼Nusu ya hini ni sawa na lita 2.
ya divai; pamoja na kila kondoo dume, theluthi moja ya hini, ▼▼Theluthi moja ya hini ni sawa na lita 1.2.
na pamoja na kila mwana-kondoo robo hini. Hii ni sadaka ya kuteketezwa ya kila mwezi itakayotolewa kila mwandamo wa mwezi kwa mwaka.
Copyright information for
SwhNEN