Proverbs 3:11-12


11 aMwanangu, usiidharau adhabu ya Bwana
na usichukie kukaripiwa naye,
12 bkwa sababu Bwana huwaadibisha wale awapendao,
kama vile baba afanyavyo
kwa mwana apendezwaye naye.
Copyright information for SwhNEN