Psalms 104:26
26 aHuko meli huenda na kurudi,
pia Lewiathani, ▼▼Lewiathani ni mnyama mkubwa wa baharini mwenye magamba anayefanana na joka kubwa, mwenye umbo la kutisha, asiyeweza kuvuliwa.
uliyemuumba acheze ndani yake.
Copyright information for
SwhNEN