Psalms 105:26-30
26 aAkamtuma Mose mtumishi wake,pamoja na Aroni, aliyemchagua.
27 bWalifanya ishara zake za ajabu miongoni mwao,
miujiza yake katika nchi ya Hamu.
28 cAlituma giza na nchi ikajaa giza,
kwani si walikuwa wameyaasi maneno yake?
29 dAligeuza maji yao kuwa damu,
ikasababisha samaki wao kufa.
30 eNchi yao ilijaa vyura tele, ambao waliingia
hadi kwenye vyumba vya kulala vya watawala wao.
Copyright information for
SwhNEN