Psalms 115:17-18
17 aSio wafu wanaomsifu Bwana,
wale washukao mahali pa kimya, ▼▼Mahali pa kimya maana yake ni Kuzimu, yaani Sheol kwa Kiebrania.
18 cbali ni sisi tunaomtukuza Bwana,
sasa na hata milele.
Msifuni Bwana. ▼▼Msifuni
Bwana ni Kiebrania Hallelu Yah.
Copyright information for
SwhNEN