‏ Psalms 119:30-32

30 aNimechagua njia ya kweli,
nimekaza moyo wangu katika sheria zako.
31 bNimengʼangʼania sheria zako, Ee Bwana,
usiniache niaibishwe.
32 cNakimbilia katika njia ya maagizo yako,
kwa kuwa umeuweka moyo wangu huru.
Copyright information for SwhNEN