Psalms 66:13-15


13 aNitakuja hekaluni mwako na sadaka za kuteketezwa
na kukutimizia nadhiri zangu:
14nadhiri ambazo midomo yangu iliahidi
na nilizotamka kwa kinywa changu
nilipokuwa katika shida.
15 bNitakutolea dhabihu za wanyama wanono
na sadaka za kondoo dume,
nitakutolea mafahali na mbuzi.
Copyright information for SwhNEN