Psalms 83:9-10


9 aUwatendee kama vile ulivyowatendea Midiani,
na kama vile ulivyowatendea Sisera na Yabini
hapo kijito cha Kishoni,
10 bambao waliangamia huko Endori
na wakawa kama takataka juu ya nchi.
Copyright information for SwhNEN