Psalms 87:4
4 a“Nitaweka kumbukumbu ya Rahabu ▼▼Rahabu hapa ni jina la ushairi la Misri.
na Babelimiongoni mwa wale wanaonikubali mimi:
Ufilisti pia na Tiro, pamoja na Kushi, ▼
▼Kushi hapa ina maana ya Naili ya juu, yaani Ethiopia.
nami nitasema, ‘Huyu alizaliwa Sayuni.’ ”
Copyright information for
SwhNEN