Psalms 95:8-10
8 amsiifanye mioyo yenu migumukama mlivyofanya kule Meriba, ▼
▼Meriba maana yake ni Kugombana.
kama mlivyofanya siku ile
kule Masa ▼
▼Masa maana yake ni Kujaribiwa.
jangwani,9 dambapo baba zenu walinijaribu na kunipima,
ingawa walikuwa wameyaona matendo yangu.
10 eKwa miaka arobaini nilikasirikia kizazi kile,
nikasema, “Hawa ni taifa ambalo mioyo yao imepotoka,
nao hawajazijua njia zangu.”
Copyright information for
SwhNEN