Psalms 96:7-9
7 aMpeni Bwana, enyi jamaa za mataifa,
mpeni Bwana utukufu na nguvu.
8 bMpeni Bwana utukufu unaostahili jina lake;
leteni sadaka na mje katika nyua zake.
9 cMwabuduni Bwana katika uzuri wa utakatifu wake;
dunia yote na itetemeke mbele zake.
Copyright information for
SwhNEN