Zechariah 1:20-21
20Kisha Bwana akanionyesha mafundi wanne. 21 aNikauliza, “Hawa wanakuja kufanya nini?”Akanijibu, “Hizi ndizo pembe zilizowatawanya Yuda ili asiwepo atakayeweza kuinua kichwa chake, lakini mafundi wamekuja kuzitia hofu na kuzitupa chini hizi pembe za mataifa ambayo yaliinua pembe zao dhidi ya nchi ya Yuda na kuwatawanya watu wake.”
Copyright information for
SwhNEN