‏ Exodus 12:50-51

50Waisraeli wote walifanya kama vile Bwana alivyomwagiza Musa na Haruni. 51 aSiku ile ile Bwana akawatoa Waisraeli katika nchi ya Misri kwa vikosi vyao.
Copyright information for SwhKC