‏ Genesis 24:22

22 aIkawa ngamia walipokwisha kunywa wote, yule mtumishi akampa huyo msichana pete ya puani ya dhahabu yenye uzito wa beka moja ▼
▼ Beka moja ya dhahabu ni sawa na gramu 5.5.
na bangili mbili za dhahabu zenye uzito wa shekeli kumi. ▼
▼ Shekeli 10 za dhahabu ni sawa na gramu 110.
Copyright information for SwhKC