‏ Genesis 26:33

33Naye akakiita Shiba, ▼
▼ Shiba kwa Kiebrania maana yake ni Saba.
mpaka leo mji huo unaitwa Beer-Sheba. ▼
▼ Beer-Sheba maana yake ni Kisima cha wale saba, yaani wale kondoo saba ambao Ibrahimu aliwatoa kama ushahidi kati yake na Abimeleki.

Copyright information for SwhKC