‏ Genesis 29:34

34Akapata tena mimba, naye alipozaa mwana, akasema, “Sasa afadhali mume wangu ataambatana na mimi, kwa sababu nimemzalia wana watatu.” Kwa hiyo akamwita Lawi. ▼
▼ Lawi maana yake Nimeunganishwa, yaani na mume wangu.

Copyright information for SwhKC