‏ Isaiah 62:4


4 aHawatakuita tena Aliyeachwa,
wala nchi yako kuiita Ukiwa.
Bali utaitwa Hefsiba, ▼
▼ Hefsiba maana yake Yeye ninayemfurahia.

nayo nchi yako itaitwa Beula, ▼
▼ Beula maana yake Aliyeolewa.

kwa maana Bwana atakufurahia,
nayo nchi yako itaolewa.
Copyright information for SwhKC