‏ Job 9:9


9 aYeye ndiye Muumba wa nyota za Dubu, ▼
▼ Nyota za Dubu hapa ina maana ya kundi la nyota za kaskazini, ambazo zinaitwa kwa jina la Dubu Mkuu.
na Orioni, ▼
▼ Orioni ni kundi la nyota kubwa.

Kilimia, ▼
▼ Kilimia ni jina lililopewa nyota saba (Taurus).
na makundi ya nyota za kusini.
Copyright information for SwhKC