‏ Psalms 139:12


12 ahata giza halitakuwa giza kwako,
usiku utang’aa kama mchana,
kwa kuwa giza ni kama nuru kwako.

Copyright information for SwhKC