Revelation of John 13:10
10 aIkiwa mtu ni wa kuchukuliwa mateka,
atachukuliwa mateka.
Ikiwa mtu ni wa kuuawa kwa upanga,
atauawa kwa upanga.
Hapa ndipo penye wito wa subira na imani ya watakatifu. Mnyama Kutoka Dunia
Copyright information for
SwhKC