1 Chronicles 7:29

29 aKatika mipaka ya Manase walikuwepo Beth-Shani, Taanaki, Megido na Dori pamoja na vijiji vyake. Wana wa Yusufu mwana wa Israeli waliishi katika miji hii.
Copyright information for SwhKC