1 Corinthians 1:17

17 aKwa maana Al-Masihi hakunituma ili kubatiza bali kuhubiri Injili; sio kwa maneno ya hekima ya kibinadamu, ili msalaba wa Al-Masihi usije ukakosa nguvu yake.

Al-Masihi Ni Hekima Na Nguvu Ya Mungu

Copyright information for SwhKC