1 Corinthians 2:9

9 aLakini ni kama ilivyoandikwa: “Hakuna jicho limepata kuona,
wala sikio limepata kusikia,
wala hayakuingia moyoni wowote,
yale Mungu amewaandalia
wale wampendao”:

Copyright information for SwhKC