1 Samuel 2:7-8


7 a Bwana humfanya mtu maskini naye hutajirisha,
hushusha na hukweza.

8 bHumwinua maskini kutoka mavumbini
na humwinua mhitaji kutoka lundo la majivu;
huwaketisha pamoja na wakuu
na kuwafanya warithi kiti cha enzi cha heshima.

“Kwa kuwa misingi ya dunia ni ya Bwana;
juu yake ameuweka ulimwengu.
Copyright information for SwhKC