1 Timothy 5:21

21 aNinakuagiza mbele za Mungu na mbele za Al-Masihi Isa na mbele za malaika wateule, shika maagizo haya pasipo ubaguzi wala upendeleo.

Copyright information for SwhKC