2 Chronicles 6:41


41 a“Sasa inuka, Ee Bwana Mwenyezi Mungu,
na uje mahali pako pa kupumzikia,
wewe na Sanduku la nguvu zako.
Makuhani wako, Ee Bwana Mwenyezi Mungu,
na wavikwe wokovu,
watakatifu wako na wafurahi
katika wema wako.
Copyright information for SwhKC