2 Samuel 1:16
16 aKwa maana Daudi alikuwa amemwambia, “Damu yako iwe juu ya kichwa chako mwenyewe. Kinywa chako mwenyewe kimeshuhudia dhidi yako uliposema, ‘Nilimuua mpakwa mafuta wa Bwana.’ ” Ombolezo La Daudi Kwa Ajili Ya Sauli Na Yonathani
Copyright information for
SwhKC