‏ 2 Samuel 14:26

26 aKila mara aliponyoa nywele za kichwa chake, kwa kuwa alikuwa akinyoa mara kwa mara zilipokuwa zinamwia nzito, alizipima uzito wake ulikuwa shekeli mia mbili kwa kipimo cha kifalme. ▼
▼ Shekeli 200 kwa kipimo cha kifalme ni sawa na kilo 2.3.

Copyright information for SwhKC