2 Samuel 5:7-9
7 aHata hivyo, Daudi akaiteka ngome ya Sayuni, Mji wa Daudi. 8 bSiku ile, Daudi akasema, “Yeyote ambaye atawashinda Wayebusi, atatumia huo mfereji kuwafikia hao ‘viwete na vipofu’ ambao ni adui za Daudi.” Ndiyo sababu wanasema, “ ‘Vipofu na viwete’ hawataingia kwenye jumba la ufalme.” 9 cNdipo Daudi akafanya makao ndani ya ngome na kuiita Mji wa Daudi. Akajenga eneo linalozunguka kuanzia Milo ▼▼ Milo maana yake Boma la Ngome.
kuelekea ndani.
Copyright information for
SwhKC