2 Thessalonians 1:8-9

8 aAtawaadhibu wale wasiomjua Mungu na ambao hawakuitii Injili ya Bwana wetu Isa. 9 bWataadhibiwa kwa uangamivu wa milele na kutengwa na uso wa Bwana na utukufu wa uweza wake,
Copyright information for SwhKC