Acts 8:40

40 aFilipo akajikuta yuko Azoto, akasafiri akihubiri Injili katika miji yote mpaka alipofika Kaisaria.
Copyright information for SwhKC