Amos 5:5-6


5 amsitafute Betheli,
msiende Gilgali,
msisafiri kwenda Beer-Sheba.
Kwa maana kwa hakika Gilgali itakwenda uhamishoni,
na Betheli itafanywa kuwa si kitu.”
Yaani Aveni kwa Kiebrania, kumaanisha Beth-Aveni, jina lingine la Betheli kwa dhihaka.


6 cMtafuteni Bwana mpate kuishi,
au atafagia nyumba ya Yusufu kama moto;
utawateketeza, nayo Betheli
haitakuwa na yeyote wa kuuzima.

Copyright information for SwhKC