Colossians 2:5
5 aKwa kuwa ingawa mimi siko pamoja nanyi kimwili, lakini niko pamoja nanyi kiroho, nami nafurahi kuuona utaratibu wenu na jinsi uthabiti wa imani yenu katika Al-Masihi ulivyo. Ukamilifu Wa Maisha Katika Al-Masihi
Copyright information for
SwhKC