Deuteronomy 14:26

26 aTumieni hiyo fedha kununua chochote ukitakacho: ng’ombe, kondoo, divai au kinywaji chochote chenye chachu au chochote mnachotaka. Kisha ninyi na wa nyumbani mwenu mtaila mbele za Bwana Mwenyezi Mungu wenu na kufurahi.
Copyright information for SwhKC