Deuteronomy 15:19

19 aWekeni wakfu kwa Bwana Mwenyezi Mungu wenu kila mzaliwa wa kwanza wa kiume wa makundi yenu ya ng’ombe na ya mbuzi na kondoo. Maksai walio wazaliwa wa kwanza msiwafanyize kazi, wala msinyoe manyoya ya wazaliwa wa kwanza wa kondoo.
Copyright information for SwhKC