Deuteronomy 15:7-8

7 aIkiwa kuna mtu maskini miongoni mwa ndugu zenu, katika mji wowote wa hiyo nchi ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa, msiwe na moyo mgumu wala usimfumbie mkono ndugu yako aliye maskini. 8 bAfadhali fungua mikono yako na umkopeshe kwa hiari chochote anachohitaji.
Copyright information for SwhKC