Deuteronomy 21:23

23 akamwe msiuache mwili wake mtini usiku kucha. Hakikisheni mnauzika mwili wake siku ile ile, kwa sababu kila mtu anayeangikwa mtini yupo chini ya laana ya Mungu. Msiinajisi nchi ambayo Bwana Mwenyezi Mungu wenu anawapa kama urithi wenu.
Copyright information for SwhKC