Deuteronomy 26:11

11 a bKisha wewe pamoja na Walawi na wageni wote walioko miongoni mwenu mtafurahi katika vitu vyote vizuri ambavyo Bwana Mwenyezi Mungu wenu amewapa pamoja na wa nyumbani mwenu.

Copyright information for SwhKC