Deuteronomy 28:15

15 aHata hivyo, kama hutamtii Bwana Mwenyezi Mungu wako na kuzishika kwa bidii amri zake zote na maagizo ninayokupa leo, laana hizi zote zitakuja juu yako na kukupata:
Copyright information for SwhKC