Deuteronomy 28:53

53 aUtakula uzao wa tumbo lako, nyama ya wana wako na binti zako ambao Bwana Mwenyezi Mungu wako amekupa, kwa sababu ya mateso yale adui zako watakayokuletea wakati wa kukuzingira.
Copyright information for SwhKC