Deuteronomy 29:13-15

13 akuwathibitisha ninyi siku hii ya leo kama taifa lake, ili aweze kuwa Mungu wenu kama alivyowaahidi na kama alivyowaapia baba zenu Ibrahimu, Isaka na Yakobo. 14 bNinafanya Agano hili pamoja na kiapo chake, sio na ninyi tu 15 cmnaosimama hapa na sisi leo mbele za Bwana Mwenyezi Mungu wetu, bali pia pamoja na wale ambao hawapo hapa leo.

Copyright information for SwhKC