Deuteronomy 30:16

16 aNinakuamuru leo kwamba umpende Bwana Mwenyezi Mungu wako, utembee katika njia zake, na kutunza maagizo yake, amri na sheria zake; ndipo utakapoishi na kuongezeka, naye Bwana Mwenyezi Mungu wako atakubariki katika nchi unayoingia kuimiliki.

Copyright information for SwhKC