Deuteronomy 30:20

20 ana ili upate kumpenda Bwana Mwenyezi Mungu wako, uisikilize sauti yake na kuambatana naye. Kwa kuwa Bwana ndiye uzima wako, na atakupa wingi wa siku ili upate kuishi katika nchi aliyoapa kuwapa baba zako Ibrahimu, Isaka na Yakobo.
Copyright information for SwhKC