Deuteronomy 8:13-14

13na wakati makundi yenu ya ng’ombe na mbuzi na kondoo yatakapoongezeka na fedha na dhahabu yenu itakapoongezeka na vyote mlivyo navyo vitakapozidishwa, 14 abasi mioyo yenu isiwe na kiburi mkamsahau Bwana Mwenyezi Mungu wenu aliyewatoa katika nchi ya Misri, kutoka nchi ya utumwa.
Copyright information for SwhKC