Ecclesiastes 10:5-7


5 Kuna ubaya niliouona chini ya jua,
aina ya kosa litokalo kwa mtawala:

6 aWapumbavu kuwekwa kwenye nafasi nyingi za juu,
wakati matajiri hushika nafasi za chini.

7 bMimi nimeona watumwa wamepanda farasi,
wakati wakuu wakitembea
kwa miguu kama watumwa.

Copyright information for SwhKC