Ecclesiastes 4:1

Uonevu, Taabu, Uadui

1 aNikatazama tena nikaona uonevu wote uliokuwa unafanyika chini ya jua: Nikaona machozi ya walioonewa,
wala hawana wa kuwafariji;
uwezo ulikuwa upande wa wale wanaowaonea,
wala hawana wa kuwafariji.
Copyright information for SwhKC